User:Laurenpitt522

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kilimanjaro Marathoni[edit]

Utangulizi

Katika mji wa Moshi, nchi ya Tanzania, kuna marathoni kila mwaka! Mbio za marathoni ni maili 26.2 au kilomita 42.1. Mbio za marathon zilianza mwaka 2002. Watu wengi wanasafiri katika Tanzania kwa marathoni. Kwa Kilimanjaro Marathoni, watu wanakimbia juu Kiliminjaro. Kuna washindi wawilii, moja kwa wanaume na moja kwa wanawake.

Kilimanjaro (Volkeno)Mount Kilimanjaro

Kilimanjaro

Kilimanjaro ni jina la mlima mrefum kuliko yote barani Afrika. Kilimanjaro ni 5,895 m. Hali ya hewa katika Kilimnijaro ni baridi sana. Kuna upepo sana pia.

Kusudi

Kwa tovuti wa Kilimanjaro Marathoni: “Pamoja na kuwa uwanja mzuri wa kuzaliana kwa talanta za ndani, hafla hiyo huvutia wakimbiaji bora kutoka nchi jirani, na kutoka kote ulimwenguni - na hadi mataifa 45 yanayohudhuria hafla hiyo. Mbali na kipengele cha 'sports', hafla hiyo ina faida kubwa katika kanda, huku wafadhili wakijenga CSR yao kuzunguka tukio hilo, na faida za kiuchumi kwa nchi na kanda ni kubwa. Pia kuna mabadiliko ya mtindo wa maisha nchini kote, huku watu wengi zaidi wakianza kukimbia, ili kuweka afya njema na kushirikiana. Kila Mtanzania wa kweli anataka kushiriki katika “Kili” kama inavyojulikana, na medali hizo huvaliwa kwa fahari kuanzia Tunduma hadi Taveta…” Cited from Home. Kilimanjaro Marathon. (n.d.). https://www.kilimanjaromarathon.com/about/history/#:~:text=Kili%20Marathon%2C%20to%20begin%20with,who%20would%20then%20climb%20the (inapatikana kwa ombi katika kiswahili!)

Washindi (2009-2015)

Kuna washindi wawilii, moja kwa wanaume na moja kwa wanawake.

Mshindi wa 2009 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Jane Nyambura 242 34 Kenya 2:41:30

Mshindi wa 2009 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Emily Chepuiya 261 29 Kenya 2:15:25

Mshindi wa 2010 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Fredah Lodepa 578 28 Kenya 2:40:21

Mshindi wa 2010 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Stephen Chebogus 96 25 Kenya 2:15:28

Mshindi wa 2011 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Ann Kamau 278 28 Kenya 3:00:12

Mshindi wa 2011 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Kipkemoi Kipsang 210 21 Kenya 2:17:09

Mshindi wa 2012 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Monica Jepkoech 695 27 Kenya 2:42:31

Mshindi wa 2012 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
David Kiprono 199 32 Kenya 2:13:50

Mshindi wa 2013 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Edna Joseph 210 28 Kenya 2:39:06

Mshindi wa 2013 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Kipkemoi Kipsang 173 23 Kenya 2:14:58

Mshindi wa 2014 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Fridah Lodepa 252 32 Kenya 2:40:26

Mshindi wa 2014 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
David Rutoh 249 28 Kenya 2:16:06

Mshindi wa 2015 kwa Wanawake

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
Fabiola William 596 33 Tanzania 2:50:53

Mshindi wa 2015 kwa Wanaume

Jina Hesabu Umri Nchi Wakati
David Ruto 602 29 Kenya 2:15:35

Washindi (2016-2023)

Mshindi wa 2016 kwa Wanawake

Jina Wakati
Kirui Kidrotich 2:16:43

Mshindi wa 2016 kwa Wanaume

Jina Wakati
Alice Kibor 2:38:03

Mshindi wa 2017 kwa Wanawake

Jina Wakati
Sheimith Muriuki 2:43:42

Mshindi wa 2017 kwa Wanaume

Jina Wakati
Moses Hengitti 2:16:42

Mshindi wa 2018 kwa Wanawake

Jina Wakati
Flavious Kwamboka 2:48:39

Mshindi wa 2018 kwa Wanaume

Jina Wakati
Comas Muteti 2:17:00

Mshindi wa 2019 kwa Wanawake

Jina Wakati
Lydia Nasimyiu Wafula 2:52:03

Mshindi wa 2019 kwa Wanaume

Jina Wakati
Cosmas Muteti 2:18:16

Mshindi wa 2020 kwa Wanawake

Jina Wakati
Lydia Wafula 2:47:05

Mshindi wa 2020 kwa Wanaume

Jina Wakati
Kiplagat Onesumus Kiplimo 2:16:56

Mshindi wa 2021 kwa Wanawake

Jina Wakati
Jackline Juma Sakilu 2:45:20

Mshindi wa 2021 kwa Wanaume

Jina Wakati
Augustino Paulo Sulle 2:18:04

Mshindi wa 2022 kwa Wanawake

Jina Wakati
Shelmith Murikuki 2:41:05

Mshindi wa 2022 kwa Wanaume

Jina Wakati
Aloyce F Simbu 2:16:30

Mshindi wa 2023 kwa Wanawake

Jina Wakati
Sarah Ramadhani 3:02:36

Mshindi wa 2023 kwa Wanaume

Jina Wakati
Kenneth Kiprop Omulo 2:18:05